Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Amerika:
Bangladesh Yawakamata Waislamu 4 kwa Kubeba Bendera ya Mtume ﷺ!

Video hii inafichua ufuasi wa serikali mpya za mpito za Bangladesh kwa mfumo ule ule wa Kikafiri na maadili yake, hasa kuhifadhi utaifa na kuzuia umoja wa Waislamu.

Mzungumzaji: Huthaifa Khan

Jumanne, 12 Rabi-ul Akhir 1446 H - 15 Oktoba 2024 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.