- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Canada:
“Kuchomoza kwa Alfajiri ya Khilafah… Mumejiandaaje kwa ajili Yake?”
Hizb ut Tahrir / Canada imeandaa kongamano la Khilafah la kila mwaka chini ya kichwa:
“Kuchomoza kwa Alfajiri ya Khilafah… Mumejiandaaje kwa ajili Yake?”
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 105 H na miaka 102 M ya kuvunjwa kwa dola ya Kiislamu (Khilafah)
Jumamosi, 28 Rajab 1447 H sawia na 17 Januari 2026 M



Kwa maelezo zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Canada:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Canada
Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Canada
