Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan:

Semina ya Kisiasa “Suluhisho Msingi na Kadhia Nyeti ya Umma”

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa Khilafah, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Jordan yatoa heshima ya kukualikeni kwenye semina ya kisiasa ya kidijitali yenye kichwa:

“Suluhisho Msingi na Kadhia Nyeti ya Umma”

Semina hiyo itaangazia mada zifuatazo:

* Tafakari kuhusu hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir, mwanachuoni mkubwa Ata bin Khalil Abu Rashta (Mwenyezi Mungu amhifadhi), katika kumbukumbu ya kuvunjwa kwa Khilafah.

* Kufilisika kwa ubepari na majaribio yake ya kupotosha Ummah na kuupotosha kutoka kwenye kadhia yake.

* Khilafah: hukmu yake, na dalili za wajibu wake, na jinsi ya kuirudisha.

* Kipindi cha maingiliano: Kujibu maswali kutoka kwa hadhira.

Hii itafanyika mnamo Ijumaa, tarehe 27 Rajab 1447 H, sawia na 16 Januari 2026 M,

saa 2:00 PM kwa saa za Madina, kupitia Zoom.

Mwaliko uko wazi kwa wote. Kuhudhuria kwenu ni furaha kwetu, na kushiriki kwenu kutanogesha mkutano huu. Mwenyezi Mungu awabariki.

- Link ya Ukumbi wa Mkutano kwenye Jukwaa la (ZOOM) -

https://us06web.zoom.us/j/88335163240?pwd=sf7t0dpvNBThZBQVwhtfmzBYSIiZo9.1

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#في_ذكرى_هدم_الخلافة

#ReturnTheKhilafah

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan

Akaunti ya Facebook ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan

Chaneli ya Daily Motion ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan

Akaunti ya Jukwaa la X ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.