- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:
Kashmir inayokaliwa kimabavu inahitaji Uhamasishaji wa Vikosi vya Jeshi la Pakistan!
Kwa mnasaba wa tarehe 5 Februar 2026, Siku ya Mshikamano pamoja na Kashmir, Waziri Mkuu wa Pakistan alitangaza: “Ninawahakikishia ndugu na dada zangu wa Kashmir kwamba Pakistan itaendelea kutoa usaidizi wake kamili wa kimaadili, kidiplomasia, na kisiasa.” Usaidizi wa kimaadili, kidiplomasia, na kisiasa pekee hautoshi kukomesha uvamizi wa kikatili! Waislamu wa Kashmir wanahitaji usaidizi wa kijeshi kutoka kwa Vikosi vya Wanajeshi wa Pakistan na mujahidina.
Katika vita vya siku nne vya Mei 2025, Mwenyezi Mungu alilipa Jeshi la Anga la Pakistan ushindi wa angani dhidi ya Kashmir inayokaliwa kimabavu, ushindi ambao uliwaepuka wakati wa Vita vya Kargil vya 1999. Dhurufu zilikuwa tayari kwa ukombozi kamili wa Kashmir inayokaliwa kimabavu, lakini watawala wa Pakistan walitii amri ya Trump ya kusitisha mapigano. Enyi Waislamu katika Vikosi vya Wanajeshi wa Pakistan! Je, hakuna watu kama Aurangzeb miongoni mwenu? Tokeni katika njia ya Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu (swt) asema:
﴿يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا مَا لَكُمْ إِذَا قِيلَ لَكُمُ انْفِرُوا فِي سَبِيلِ اللَّهِ اثَّاقَلْتُمْ إِلَى الْأَرْضِ أَرَضِيتُمْ بِالْحَيَاةِ الدُّنْيَا مِنَ الْآخِرَةِ فَمَا مَتَاعُ الْحَيَاةِ الدُّنْيَا فِي الْآخِرَةِ إِلَّا قَلِيلٌ﴾
“Enyi mlio amini! Mna nini mnapo ambiwa: Nendeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu, mnajitia uzito katika ardhi? Je, mmeridhia maisha ya dunia kuliko ya Akhera? Lakini starehe za maisha ya dunia kulinganisha na ya Akhera ni chache.” [At-Tawbah: 38]
#الخلافة_تحرر_كشمير
#KhilafahLiberatesKashmir
Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan
Alhamisi, 17 Ramadhan 1447 H – 05 Machi 2026 M

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya Facebook ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya Jukwaa la X ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
