- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Fursa ya Dhahabu Imo Mikononi Mwenu... Simamisheni Khilafah!
Enyi Majeshi ya Pakistan! Fursa ya dhahabu iko mikononi mwenu. Simamisheni Khilafah, unganisheni Mashariki ya Kati chini ya uongozi wenu, na ifukuzeni Amerika kutoka katika Ardhi za Waislamu. Ahadi ya Mwenyezi Mungu ya tamkini na nasr (ushindi) wake iko pamoja nanyi. Dunia iko karibu na mabadiliko makubwa. Kwa nguvu ya Iman yenu, fuateni njia ya Ansar (ra) wa Al-Madina na muregeshe nuru ya Uislamu kwa ulimwengu kupitia mfumo wake wa utawala.
#لنجعل_أمريكا_تتراجع_مجدداً
#Make_America_Retreat_Again
Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Pakistan
Jumatano, 12 Dhu al-Qa’ada 1447 H sawia na 29 Aprili 2026 M

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya Facebook ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
Akaunti ya Jukwaa la X ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan
