Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilaya Pakistan:

Janga la Ugonjwa wa Virusi vya Korona nchini Pakistan

Kuhusiana na janga la ugonjwa wa virusi vya Korona nchini Pakistan, kutakuwepo na matangazo maalum inshaaAllah mnamo Jumamosi 16 Mei 2020 saa 10:30 usiku (PST)

Tafadhali zuru linki ifuatayo na kisha bofya “Set Reminder”

Itafafanua namna ambavyo Khilafah itakayo wasili hivi punde itasimamia huduma za afya na uchumi wakati wa milipuko ya maradhi.

#Covid19    #Korona     كورونا#

 

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 06 Juni 2020 06:48
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.