- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:
Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Angazo la amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H.
Ijumaa, 20 Rajab 1447 H sawia na 9 Januari 2026 M
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia iliandaa kisimamo cha izza kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa Khilafah, kikiashiria kumbukumbu ya mapinduzi ya Tunisia. Kisimamo hicho kilifanyika chini ya kauli mbiu “Na Mapinduzi Yanaendelea... Kuelekea Khilafah Rashida.”
Kwa maelezo zaidi, Bonyeza Hapa.
Jumatano, 25 Rajab 1447 H sawia na 14 Januari 2026 M

- Kitengo cha Wanawake katika Wilayah ya Tunisia -
[Kalima kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah!]
Kwa mnasaba wa ujio wa kumbukumbu uchungu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa dola ya Kiislamu na wasaliti wa Kiarabu na Kituruki, iliyoanzishwa na Mtume Muhammad (saw) na Maswahaba wake watukufu (ra), na kufutwa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H (3 Machi 1924 M), Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia kinatoa msururu wa kalima ili kuhamasisha Ummah wa Kiislamu kufanya kazi kwa bidii na kwa dhati pamoja na Hizb ut Tahrir ili kuisimamisha tena, kama Mtume wetu Muhammad (saw) alivyotabiri: “Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.”
Jumatano, 25 Rajab 1447 H sawia na 14 Januari 2026 M
[Kalima ya Kwanza]

- Alama Ishara za Kampeni -
#أقيموا_الخلافة
#في_ذكرى_هدم_الخلافة
#ReturnTheKhilafah
#YenidenHilafet
#خلافت_کو_قائم_کرو
#TurudisheniKhilafah

Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia
Tovuti Rasmi ya Jarida la Tahrir
Ukurasa wa Facebook wa Jarida la Tahrir
