- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Mkutano na Waandishi wa Habari “Vita dhidi ya Iran: Ukafiri ni Mila Moja, Na Waislamu ni Umma Mmoja”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliwasilisha taarifa kwa vyombo vya habari yenye hoja kumi kwa Umma wa Kiislamu wakati wa mkutano na waandishi wa habari, yenye kichwa cha habari:
“Vita dhidi ya Iran: Ukafiri ni Mila Moja, Na Waislamu ni Umma Mmoja”
Taarifa hii inalenga kuhakikisha ufahamu wazi wa uhalisi wa sasa wa kisiasa na maendeleo yake, na kuwawezesha Waislamu kuchukua msimamo unaohitajika dhidi ya vita vinavyoendeshwa na Amerika yenye kiburi na mtoto wake, umbile nyakuzi la Kizayuni, dhidi ya Iran, nchi ya Kiislamu, na uvamizi unaoendelea dhidi ya Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina.
Kwa maelezo zaidi, Bofya Hapa
Alhamisi, 8 Shawwal 1447 H – 26 Machi 2026 M

- Video Kamili ya Amali ya Mkutano na Waandishi wa Habari -

- Alama Ishara za Amali hiyo -
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Tovuti ya Jarida la Kokludegisim
