Logo
Chapisha ukurasa huu

Afisi ya Habari
Wilayah Syria

H.  1 Muharram 1448 Na: 01 / 1448 H
M.  Jumanne, 16 Juni 2026

Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Mabadiliko katika Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

(Imetafsiriwa)

Kwa vyombo vya habari andishi, runinga na redio, na kwa wanahabari waheshimiwa, Salamu,

Tunawajulisha kwamba Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria sasa ni Ustadh Ali Mustafa Al-Bakri, kuanzia 1 Muharram 1448 H, sawia na 16/06/2026 M, pamoja na shukrani za dhati kwa Ustadh Ahmad Abdul Wahhab kwa juhudi zake na kujitolea kwake katika miaka yake uongozi wa afisi hii.

Pia tunakufahamisheni kwamba akaunti za afisi na akaunti za mkuu wake mpya kwenye majukwaa ya mawasiliano ya kielektroniki ni kama zifuatazo:

· Barua pepe ya Mkuu wa Afisi:

Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

· Ukurasa wa kibinafsi wa Facebook wa Mkuu wa Afisi:

https://www.facebook.com/people/علي-مصطفى-البكري/61590454397210/

· Barua pepe ya Afisi ya Habari:

Anwani ya barua pepe hii inalindwa kutokana na spambots. JavaScript lazima iwe itawezeshwa kwa kuweza kuona.

. Ukurasa Rasmi wa Facebook wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Syria:

www.facebook.com/tahrir.s2025

Kwa hiyo, kwa mawasiliano na Hizb kuhusu jambo lolote, kama vile maswali kuhusu msimamo wowote wa Hizb, maoni yake ya kisiasa kuhusu matukio ya sasa, kupanga mahojiano na vyombo vya habari, au mambo kama hayo, mnaweza kuwasiliana na anwani zilizoorodheshwa hapo juu.

Tunatumai kuwa mtapata habari zinazohusiana na Hizb kutoka kwa Afisi yetu ya Habari na sio kutoka kwa vyanzo vyengine vya habari.

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir

katika Wilayah Syria

Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari
Wilayah Syria
Address & Website
Tel: +8821644446132 Skype: TahrirSyria
www.tahrir-syria.info
E-Mail: media@tahrir-syria.info

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.