Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Wilayah Syria: Kisimamo cha Kijiji cha Sahara: "Kuwakamata Watu Wenye Ikhlasi na Kuwapokonya Watu Silaha ni Miongoni mwa Hatua za Kuyamaliza Mapinduzi!"

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo baada ya swala ya Ijumaa katika kijiji cha Al-Sahara viungani mwa Aleppo kwa anwani "Kukamata Watu Wenye Ikhlasi na Kuwapokonya Watu silaha ni Miongoni mwa Hatua za Kuyamaliza Mapinduzi!"

Ijumaa, 28 Dhu al-Qa'adah 1442 H sawia na 09 Julai 2021 M

- Kalima ya Mhandisi Ali Abdulrahman katika Kisimamo cha Kijiji cha Al-Sahara -

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.