Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Wilayah Syria: Kisimamo cha Mji wa Ariha "Daraa Yaomba Nusra kwa Wenye Ikhlasi na Yafunua Barakoa kutoka kwa Wanyonge!"

Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Ariha viungani mwa Idlib kwa anwani "Daraa Yaomba Nusra kwa Wenye Ikhlasi na Yafunua Barakoa kutoka kwa Wanyonge!"

Jumanne, 24 Dhu al-Hijjah 1442 H sawia na 03 Agosti 2021 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.