Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Maandamano ya Killi “Hakuna Maridhiano wala Hakuna Suluhisho la Kisiasa na Serikali ya Mhalifu.”

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Killi kupinga kauli za khiyana za hivi karibuni za serikali ya Uturuki zinazotaka kuwepo na mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad, yenye kichwa “Hakuna Maridhiano wala Hakuna Suluhisho la Kisiasa na Serikali ya Mhalifu”.

Alhamisi, 20 Muharram Tukufu 1444 H - 18 Agosti 2022 M

- Kalima ya Ustadh Enad Ja’bar Wakati wa Maandamano -

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya Telegram ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Akaunti ya Whatsapp ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.