- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Kongamano la Antalya: “Usuli wa Amani na Mustakabali wa Gaza”
Katika kukabiliana na mauaji ya kikatili yanayoendelea (mauaji ya halaiki) yanayofanywa na umbile halifu la Kizayuni dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza kwa zaidi ya miaka miwili, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi, kujeruhiwa, na kutoweka kwa Waislamu zaidi ya 220,000 hadi sasa, Hizb ut-Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kongamano la pamoja jijini Antalya lenye kichwa:
“Usuli wa Amani na Mustakabali wa Gaza.”
Wazungumzaji wote katika kongamano hilo walisisitiza kwamba “Mpango wa Trump,” unaoungwa mkono na serikali na tawala zilizopo katika nchi za Waislamu, si kitu chengine ila “khiyana,” na kwamba suluhisho pekee kwa Ukanda wa Gaza haswa, na kwa ardhi iliyobarikiwa (Palestina) kwa jumla, ni kutangaza jihad na uhamasishaji wa jumla, na kufanya kazi kwa bidii ili kusimamisha dola ya Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume.
Jumapili, 2 Jumada al-Thani 1447 H, sawia na 23 Novemba 2025 M

- Picha za Kongamano la Antalya la Kuinusuru na Kuiombea Nusra Gaza na Palestina Yote Inayokaliwa Kimabavu -
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
-
Click to open image!
Click to open image!
https://hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/uturuki/5160.html?print=1&tmpl=component#sigProId248fc28aee

- Alama Ishara za Amali -
#طوفان_الأقصى
#الجيوش_إلى_الأقصى
#الأقصى_يستصرخ_الجيوش
#AksaTufanı
#OrdularAksaya
#ArmiesToAqsa
#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:
Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Akaunti ya X: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
Tovuti ya Daily Motion ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki
