Al-Waqiyah TV: Qur’an Yetu ni Kubwa Zaidi kuliko Chuki Zenu!
- Imepeperushwa katika Sweden
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kalima ya Ustadh Al-Qadir Yusuf Ahmad
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Sweden
Kalima ya Ustadh Al-Qadir Yusuf Ahmad
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Sweden
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kisimamo katika mji wa Ankara, baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Haji Bayram katika eneo la Ulus, cha kuwanusuru ndugu zetu Waislamu katika mji wa Jenin al-Qassam
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 64 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Baada ya uvamizi wa kikatili na usio wa haki wa kambi ya Jenin na vikosi vya jeshi la Kiyahudi, ambapo vikosi hivyo vilisababisha vifo, uharibifu na ufisadi, Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina iliandaa maandamano makubwa baridi katika miji ya Hebron, Ramallah na Qalqilya, yenye kichwa “Ushindi kwa Jenin na Kutafuta Nusrah kutoka kwa Majeshi ya Waislamu.”
Afisi Kuu ya Habari: Kitengo cha Wanawake “Ujumbe kwenda kwa Ndugu waliyomo ndani ya Hay’at Tahrir Ash-Sham!”
Maoni ya Habari ya Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan.
Kwa Mabadiliko ya Kweli... Kataeni demokrasia... Simamisheni Khilafah.
Pongezi za Kitengo cha Wanawake kwa Mnasaba wa Ujio wa Idd ul-Adha Al-Mubarak 1444 H
Hizb ut Tahrir inatoa pongezi za dhati na baraka nyingi kwa Umma wa Kiislamu kwa mnasaba wa Idd al-Adha iliyobarikiwa, ikimwomba Mwenyezi Mungu Mtukufu aifunike kwa siku za furaha, raha na utulivu, na kuuzunguka kwa baraka zake.
Pongezi kutoka kote Ulimwenguni kwa Mnasaba wa Idd Al Adha 1444 H
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon iliandaa msafara wa Takbir, Tahlil na Tahmid huko Miryata na vijiji vya Al-Danniyeeh kwa mnasaba wa kuingia siku kumi za Dhu al-Hijjah 1444 H.