Jibu la Swali: Mazungumzo ya Geneva na Jaribio la Kumaliza Vita nchini Sudan
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kikao cha ufunguzi wa mazungumzo ya Geneva ya kumaliza vita nchini Sudan ambayo yamekuwa yakiendelea kwa takriban miezi 16 kilifanyika mnamo Jumatano (14/8/2024) mbele ya washirika wa upatanishi wa kimataifa, Marekani, Uswizi, Saudi Arabia. Misri, Imarati, Muungano wa Afrika na Umoja wa Mataifa, huku jeshi la Sudan halikuwepo kwenye mazungumzo hayo. Ni nini sababu ya wito wa Marekani kufanya kongamano jijini Geneva badala ya Jeddah na kupanua ushiriki?