Jumatano, 11 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Jibu la Swali: Hukmu ya Miamala ya Kifedha na Kibiashara kupitia Mtandao wa Intaneti

Je, ni ipi hukmu ya biashara, kwa mfano, kununua dinari, mafuta, dhahabu nk kwa dolari wakati wa bei nafuu, kisha kuiuza kwa wakati wa bei ya juu ili kupata faida, huku ukijua kwamba yote haya yanapatikana kwenye mtandao, na anaweza kuhamisha pesa benki na kuzitoa wakati wowote anapotaka?

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Hadith «إِنَّ الإِسْلامَ يَجُبُّ مَا كَانَ قَـبْلَهُ» “Hakika Uislamu Hufuta Yale Yalikuwa Kabla Yake”

(Ama kushughulika na kesi zinazodhuru Uislamu na Waislamu, hii ni kwa sababu Mtume aliamuru kuuawa kwa watu wachache waliosababisha madhara kwa Uislamu na Waislamu katika zama za Jahiliyyah baada ya ufunguzi wa Makka, na hivyo waliuawa hata kama walijifunga kwenye mapazia ya Al-Kaaba, kwa kujua kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu amesema, "إن الإسلام يجب ما قبله" “Hakika Uislamu Hufuta Yale Yalikuwa Kabla Yake”

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Uhalisia wa Hizb ut Tahrir Baada ya Kusimamishwa Khilafah

Assalam Alaikum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh

Inaelezwa katika Utangulizi wa Rasimu ya Katiba, Kifungu cha 21: Waislamu wana haki ya kuanzisha vyama vya kisiasa ili kuwahisabu watawala, au kufikia madaraka kupitia Ummah.

Swali ni: Ikiwa chama kilicho chukua utawala kilikuwa na mpango wake wa kisiasa, itautabikisha kama ilivyo kwa vyama katika nchi za sasa?

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Tofauti Kati ya Manabii na Mitume, Amani Iwe Juu Yao

“Kwa hivyo, Musa (as) alikuwa Nabii kwa sababu alipewa wahyi na Shari’ah na Mtume kwa sababu Shari’ah hii ilikuwa kwa ajili ya utume wake. Kwa upande mwingine, ingawa Harun (as) pia alikuwa ni Nabii kwa sababu alipewa wahyi na Shari ́ah, hakuwa Mtume kwa sababu Shari ́ah iliyoteremshwa kwake haikuwa kwa ajili ya utume wake, bali ilikuwa kwa ajili ya utume wa Musa (as)”.

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Aina ya Vima

Je, kuregesha maisha kamili ya Kiislamu kunapata "kima cha utu" kwa sababu ni kitendo kinachookoa wanadamu ikiwa kitafikiwa, au kunapata "kima cha kiroho" kwa sababu kuanzisha tena maisha kamili ya Kiislamu kumejengwa juu ya msingi wa kisheria (sio wa kighariza) unaohusiana na utawala wa Uislamu na faradhi ya utiifu kwa Khalifa, nk.?

Soma zaidi...

Jibu la Swali Usahihi wa Hadith: "Watakuja Watu Siku ya Kiyama, Imani yao itakuwa ya Kustaajabisha...”

Nilikuwa nikitafuta usahihi wa Hadith hii, lakini sikuweza kupata usahihi ulio kwa maneno haya, kwa hivyo tafadhali nisaidie.

(Siku ya Kiyama, watakuja watu imani yao itakuwa ya kustaajabisha, nuru yao itatoka mikononi mwao na mikononi mwao ya kulia, na itasemwa: Leo mnafurahi, na amani iwe juu yenu ingieni humo milele, Malaika na Manabii watawaonea wivu kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu kwao. Basi, maswahaba wakauliza ni kina nani hao ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu?

Soma zaidi...

Jibu la Swali Uzingatiaji Hadith kama Dalili katika Hukmu za Shari’ah

Uzingatiaji Hadith kama dalili katika Hukmu za Shari’ah

Dalili kwa ‘Aqidah lazima uwe ya kukatikiwa na yenye usahihi usio na shaka. Ndio maana riwaya ya mtu mmoja mmoja (khabar al-ahad) haifai kuwa dalili kwa ‘Aqidah hata kama ni Hadith Sahih katika maana na upokezi wake. Ama hukmu ya Shari’ah, dalili yake inaweza kuwa  isiyo ya kukatikiwa (thanni).

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu