Hizb ut Tahrir / Denmark: Kisimamo jijini Copenhagen Kusherehekea Kuanguka kwa Utawala wa Assad!
- Imepeperushwa katika Denmark
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kisimamo jijini Copenhagen Kusherehekea Kuanguka kwa Utawala wa Assad!
Kisimamo jijini Copenhagen Kusherehekea Kuanguka kwa Utawala wa Assad!
Maandamano mbele ya Bunge kupinga Ziara ya Abdel Fattah Al-Sisi nchini Denmark!
Kwa mnasaba wa miaka 100 M (103 H) ya mkoloni kafiri, kwa msaada wa makhaini wa Kiarabu na Kituruki, kuivunja Dola ya Uislamu (Khilafah Uthmani) na kuondolewa kwa mfumo wa utawala katika Uislamu (Khilafah) kutoka kwa maisha ya Umma wa Kiislamu, Hizb ut Tahrir / Denmark inaandaa Kongamano la kila mwaka la Khilafah.
Filamu ya Makala “Palestina Yote ni Wajibu Ikombolewe!"
Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu ya (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi ambalo liliendelea na mashambulizi yake dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji na upigaji mabomu wa kuendelea wa Ukanda wa Gaza kwa miaka 17
Kwa Nini Siasa za Kilimwengu Zinachukuliwa kuwa Muhimu?!
Kwa kuzingatia ushujaa ambao mujahidina mashujaa waliutenda katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linaloendelea katika mashambulizi yake ya Msikiti wa Al-Aqsa,
Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa maandamano katika uwanja wa Red Square huko Norbro jijini Copenhagen kwa kichwa:
Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa maandamano mbele ya Bunge la Denmark
Hizb ut Tahrir / Denmark iliandaa kisimamo mbele ya Bunge la Denmark katika uwanja wa Christiansborg Castle Square cha kulaani mateso ya umwagaji damu ya India dhidi ya Waislamu na unafiki wa serikali ya Denmark.