Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali Kubwa: “Ni Nani…
Ijumaa, 15 Sha'aban 1446 - 14 Februari 2025
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yanayofanywa na umbile nyakuzi la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), na kwa kuzingatia matakwa ya adui wa Mwenyezi Mungu, Trump, kuwahamisha Waislamu wasio na ulinzi kutoka Ukanda wa Gaza, Hizb ut Tahrir/Wilayah Uturuki inaandaa amali za halaiki kote nchini Uturuki chini ya kichwa: “Ni Nani atamzuia Trump?!”
Umbile la Kigaidi la Kizayuni Limeufanya Ukingo wa Magharibi kuwa…
Mnamo tarehe 7 Februari, shirika la ‘Save the Children’ liliripoti kwamba watoto wasiopungua 224 wameuawa…
“Mfalme” wa Kiimla wa Jordan Anashiriki kwa Shangwe katika Uuzaji…
Mtawala kiimla wa Jordan hivi majuzi aliondoka kwenye kasri lake baada ya maagizo ya Trump,…
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Pakistan: Enyi Umma wa…
Enyi Umma wa Muhammad (saw)! Majeshi Yenu yana Nguvu za Kutosha... Waamuruni Wawang'oe Watawala Vibaraka!
Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
Kwa wanahabari wetu waheshimiwa na vyombo vya habari, katika aina zake zote, magazeti, redio na…
Vitisho vya Kutojali vya Trump Vitasambaratishwa dhidi ya Mwamba wa…
Mara tu Trump alipotwaa urais wa Marekani, alianza kutoa vitisho kushoto na kulia. La kukasirisha…