Baada ya Majanga na Damu ... Mkataba wa Riyadh kati ya Hadi na Baraza la Mpito, Uko wapi Uislamu na Vipengee vyake?!?!
- Imepeperushwa katika Yemen
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Jumanne, 05/11/2019, Saleh Al-Khanbashi, akimuwakilisha Hadi, na Nasser Al-Kubaii, akiwakilisha serikali ya mpito, walisaini Mkataba wa Riyadh kumaliza mapigano kati ya vikosi vyao tangu tarehe 2/08/2019. Mkataba huo ni pamoja na kuunda serikali isiyozidi mawaziri 24 na wawe sawa kati ya majimbo ya kaskazini na kusini, na uteuzi wa Hadi wa magavana katika majimbo ya kusini.