Uzinduzi wa Kampeni ya Kijamii ya Hizb ut Tahrir / Kenya chini ya Kauli Mbiu: Uislamu Suluhisho Bora la Migogoro ya Kinyumbani
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir/Kenya imezindua rasmi kampeni ya kushughulikia masuala ya kijamii ambayo itaendeshwa kwa muda wa mwezi mmoja. Kampeni hii ya mwezi mmoja itaanza tarehe 1 Novemba 2024 na kumalizika tarehe 1 Disemba 2024.