Hotuba ya Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Sudan katika Mkutano na Waandishi wa Habari yenye kichwa: “Usomaji wa Awali wa Hotuba ya Al-Burhan”
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Dola ya Kiislamu imeegemezwa kwenye Aqidah (itikadi) ya Kiislamu, na hili linahitaji kwamba katiba yake na sheria zake zote zichukuliwe kutoka katika Kitabu cha Mwenyezi Mungu na Sunnah za Mtume Wake (saw).