Waislamu, Mapambano Yenu ya Kiitikadi ndio Chimbuko la Nguvu Yenu!
- Imepeperushwa katika Sweden
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Msururu wa uchomaji Mshafu Mtukufu (Quran) unaendelea nchini Uswidi, huku polisi wakimpa Salwan Momika idhini nyingine ya kuichoma Quran katika Jiji la Malmo mnamo Jumapili, Septemba 3, 2023. Kituo cha Uswidi (SVT) kiliripoti kwamba watu wawili walijaribu kuvuruga tukio lake kwa nguvu, lakini polisi wakafanikiwa kuwadhibiti.