Uchokozi wa Maji Usio na Kifani wa India Kutia Shinikizo la Kisiasa kwa Bangladesh; Hakuna Njia Mbadala ya kuitambua India kama Dola Adui
- Imepeperushwa katika Bangladesh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Leo, Ijumaa (23/08/2024), baada ya swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Taifa wa Baitul Mukarram, Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh iliandaa maandamano na msafara kupinga uchokozi wa maji wa India dhidi ya Bangladesh.