Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 435
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Chaneli ya Kiislamu ya Oasis yaandaa majadiliano pamoja na Dkt. Nazreen Nawaz na Adnan Khan kuhusu siasa za kweli nyuma ya maandamano ya kupinga hijab nchini Iran.
Sehemu ya khutba ya Ijumaa ya Sheikh Yusuf Makharza (Abu Hammam).
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Dkt. Nazreen Nawaz alishiriki katika kampeni ya vijana iliyoanzishwa na Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 60 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Katika muda wa wiki mbili zilizopita, kumekuwa na maandamano kote nchini Iran na katika sehemu nyingine za dunia kujibu kifo cha Mahsa Amini, mwanamke wa Kikurdi mwenye umri wa miaka 22, ambaye inasemekana alikamatwa na polisi wa maadili wa Iran kwa kutofinika nywele zake ipasavyo na Hijabu na kupigwa hadi kufa akiwa chini ya ulinzi wao.
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 59 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Mnamo tarehe 25 Agosti 2022, Tume iliyoteuliwa na serikali ya Denmark ilipendekeza kupigwa marufuku kwa wasichana wanaovaa Hijab katika shule za msingi nchini humo.