Ardhi Iliyo Barikiwa: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ardhi Iliyo Barikiwa: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Ardhi Iliyo Barikiwa: Amali kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Karne Moja ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa msururu wa maandamano ya umma kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu Mtukufu (saw), na kupinga matusi ya wakoloni makafiri chini ya kaulimbiu:
Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina): Visimamo vya Halaiki Kumnusuru Mtume Mtukufu (saw)
Hizb ut-Tahrir katika Ardhi iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa amali katika Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa, ambapo ilitoa hotuba kali yenye kushutumu makubaliano ya kusawazisha mahusiano ya Imarati na Bahrain pamoja na umbile vamizi la Kiyahudi
Tumekusanyika leo kusema LA kwa mpango wa Trump, LA kwa suluhisho la serikali mbili, LA kwa miradi yote ya kujisalimisha, mazungumzo, na usaliti, na NDIO kwa kishindo cha ndege na tetemeko la ardhi la vifaru, NDIO ... tunataka chuma kishambulie chuma, tunataka askari kama wanajeshi wa Salahudin.
Imeandaliwa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu ya Palestina.
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu ya Palestina iliandaa maandamano makubwa katika miji ya Ramallah na Jenin siku ya Jumamosi, 15 Februari, 2020 kupinga mpango wa Trump na suluhisho la kikoloni.
Kitengo cha Wanawake katika Hizb ut Tahrir ndani ya Ardhi ya Baraka (Palestina) kiliandaa mnamo Jumatano, 23 Rabii' Awwal 1441 H – 20 Novemba 2019 M warsha kubwa baada ya swala ya Asr ndani ya Msikiti wa Al-Sha'rawi huko Hebron (al-Khalil) ikiwa ni sehemu ya kampeni ya uzindushi dhidi ya CEDAW.