Hakuna Kikomo kwa Unyama na Chuki za Kikatili za Wazayuni
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tangu tarehe 5 Agosti 2022, Ijumaa hii iliyopita, umbile la Kizayuni kwa mara nyingine tena limefanya mashambulizi ya angani dhidi ya Gaza na kuua makumi, wakiwemo kwa uchache watoto 15 na kujeruhi mamia.