Kuongeza Idadi ya Nafasi zaidi Kwa Wanawake Bungeni na Serikalini Kattu Hakutookoa Mwanamke wa Kawaida Kwenye Makucha ya Ubepari
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Bunge la Kenya kwa sasa limo kwenye mchakato wa kujadili kupitishwa kwa mswada wa Kijinsia 2018 unaopendekeza marekebisho ya vifungu vya katiba vya 90, 97 na 98, ili kuafikia utekelezwaji wa kanuni ya Kijinsia ya thuluthi mbili katika Bunge la Kitaifa.