Mwacheni Huru Naveed Butt Huku akiwa Dhaifu mbele ya Shinikizo Kubwa la Kuachiliwa Huru kwa Naveed Butt, Serikali "Mtekaji nyara" Inageukia Urongo Duni.
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Miezi minane baada ya kesi kusikilizwa kwa mara ya mwisho, usikilizaji katika kikao cha Tume ya Uchunguzi juu ya Kupotezwa kwa Nguvu ulifanyika jana, 26 Mei 2015, kuhusu kutekwa nyara kwa Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir nchini Pakistan, Naveed Butt, ambaye alitekwa nyara na majambazi wa taasisi mnamo tarehe 11 Mei 2012.