Jumapili, 11 Shawwal 1447 | 2026/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wako Wapi Wajukuu wa Muhammad bin Qasim, Wahamasishe Jeshi Kutokana na Vilio vya Naseema Bano na Dada Zake wa Kiislamu Wanaonyanyaswa katika Kashmir Iliyo Kaliwa?!

Huku akiangazia ubakaji wa halaiki uliofanywa na jeshi la India mnamo 1991 katika vijiji viwili vya Kashmir Iliyo Kaliwa, Waziri wa Shirikisho anayehusika na Haki za Kibinadamu Dkt. Shireen Mazari mnamo 15 Agosti 2020 alitangaza,

Soma zaidi...

Serikali ya Bajwa-Imran Naipate Onyo kuwa Ummah Mtukufu wa Kiislamu Kamwe Hautakubali Kusalimisha Hata Shubiri Moja ya Ardhi Iliyo Barikiwa ya Palestina

Huku Waislamu wa Pakistan wakiukataa kwa hasira mpango unaonadiwa na Amerika kati ya Imarati na umbile la Kiyahudi la kusawazisha mahusiano kikamilifu, serikali ya Bajwa-Imran kwa uangalifu inajitolea njia ya kukamilisha khiyana,

Soma zaidi...

Ardhi Iliyo Barikiwa Iko katika Miadi ya Kukombolewa Usawazishaji Mahusiano wa Imarati ni Ukurasa Mweusi Ulioongezwa katika Kurasa za Watawala Makhaini!!

Imarati na umbile la Kiyahudi zimekubaliana kuasisi mahusiano kamili ya kidiplomasia baina yao, kwa mujibu wa taarifa ya pamoja iliyo tolewa na Waziri Mkuu wa umbile la Kiyahudi Benjamin Netanyahu, Mfalme Mtarajiwa wa Abu Dhabi Mohammed bin Zayed Al Nahyan na Raisi wa Amerika Donald Trump.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu