Jana ilikuwa, Shuafat na Silwan, Leo ni Wadi Al-Homs, na Orodha inaendelea...!!
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
"Vyombo vya habari viliripoti picha za wanawake na watoto wakipiga mayowe wakati majeshi ya uvamizi yalipofurusha familia za Wapalestina kutoka majumbani mwao ili kubomoa majengo kadhaa katika eneo la Wadi al-Homs



