Urusi Yaendeleza Vita vyake dhidi ya Uislamu
- Imepeperushwa katika Ukraine
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa miaka 5 iliyopita tangu Urusi ilipoichukua Crimea ni hukumu ya tano kwa kiitwacho “Kesi za Hizb-ut-Tahrir” ambapo Waislamu wanatuhumiwa na harakati za kigaidi.



