Enyi Majeshi ya Waislamu, Je Hakuna Muongofu Miongoni Mwenu? Gaza, Al-Quds na Palestina Nzima Zinateketea kwa Moto wa Mayahudi Ilhali Mumekaa Kimya!
- Imepeperushwa katika Hizb ut-Tahrir
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mayahudi makatili wanaeneza mashambulizi yao ya kinyama katika maeneo yote ya Palestina, haswa Masra (eneo la Isra') ya Mtume (saw) na Gaza ya kishujaa, na kuchoma moto mawe na miti, na kumwaga damu, na waliojeruhiwa miongoni mwa watu wa Palestina wanazidi kuongezeka.