Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 294
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 294
Vichwa Vikuu vya Toleo 294
Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ilifanya mkutano wa waandishi habari mnamo Alhamisi asubuhi, Julai 2, 2020 kwa anwani "Mradi huu Unaweza Kuitoa Tunisia kutokana na Mfumo wa Majanga." Mkutano huu wa waandishi habari ulifanywa katika makao yake makuu yaliyoko makutano ya Sakra-Ariana katika mji mkuu.
Mnamo 11 Julai, 1995, majeshi ya Serbia yalivamia eneo la Waislamu la Srebrenica nchini Bosnia ambapo maelfu ya Waislamu walikuwa wametafuta himaya kutokana na mashambulizi ya jeshi la Serbia kaskazini mashariki mwa Bosnia.
Hizb ut Tahri / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Babka viungani mwa Aleppo kwa anwani "Utiifu kwa Wafuasi Unagongana na Utiifu kwa Mola wa Walimwengu!"
Na: Ndugu Mahmoud Abu Swateef – Viungani mwa Aleppo Kaskazini
Bila kuangalia, Modi, Raja Dahir wa enzi zetu, angeendelea na kutokujali kumwaga damu takatifu ya mama, dada, kaka na watoto wetu.
Hizb ut Tahrir/ Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Kah viungani wa Idlib kwa anwani "Tunavyo Viungo vya Ushindi"
Vichwa Vikuu vya Toleo 293
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kambi za Atma Magharibi, viungani mwa Idlib, kwa anwani, "Tunavyo Viungo vya Ushindi!"