Kongamano la Hali ya Hewa Lamalizika kwa Makubaliano Machache
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kongamano kubwa la kimataifa la hali ya hewa la COP26 lilidumu kwa wiki mbili huko Glasgow nchini Uingereza.
Kongamano kubwa la kimataifa la hali ya hewa la COP26 lilidumu kwa wiki mbili huko Glasgow nchini Uingereza.
Mfumo wa Kirasilimali unaotawala dunia nzima leo ingawa unapiga domo tupu kuhusu kuyajali mazingira kiuhalisia unalenga kuongeza uzalishaji na kuwatajirisha kipote cha mabwenyenye wachache kwa gharama yoyote ile.
Ni kongamano la 26! Kongamano hilo, ambalo lilifanyika Januari 31, 2021, linamaanisha kuwa kulikuweko na makongamano mengine 25 ya hali ya hewa yaliyotangulia, lakini hayakuleta matokeo ya maana.
COP26 itazihimiza nchi 195 kutekeleza ahadi walizotoa walipokuwa wakikubaliana juu ya Mkataba wa Paris wakati wa COP21 mwaka 2015.
Kongamano la Umoja wa Mataifa la Mabadiliko ya Hali ya Hewa la COP26 linajadiliwa kwa mapana na marefu, huku wachambuzi wakikisia juu ya mafanikio yanayoweza kupatikana na wengine kuutayarisha ulimwengu kwa kongamano jengine la Umoja wa Mataifa lenye kufeli.
Wakati Rais wa Amerika Joe Biden alipokuwa kwenye kampeni mnamo 2020, alisema, "Mabadiliko ya hali ya hewa ndio tishio lililopo kwa wanadamu.Ikiwa hayataangaliwa, yataioka sayari hii.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Indonesia Retno Marsudi alisema Amerika imejitolea kutoa msaada wa dolari za Amerika milioni 102 (IDR trilioni 1.44) kwa nchi za ASEAN katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Muundo wa nguvu za kiulimwengu hivi leo uko katika hali ya mabadiliko, kukiwa na mfungamano wa nguvu na miungano inayochukua sura kote duniani na ambapo Wamagharibi wanaondoshwa kutoka nafasi yao ya uongozi duniani.
Katika msimu wa kipupwe wa Oktoba 2021, Nyaraka za Pandora zilifichuliwa kwa walimwengu.
Dunia inaendelea kuiangalia Afghanistan huku wengi bado wakishangaa vipi uvamizi wa miaka 20 umeshindwa kwa kiasi hicho cha kustaajabisha.