Vipi Khilafah Itatatua Umasikini: SEHEMU 1
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Licha ya rasilimali na nguvu kazi nyingi, pamoja na utajiri mkubwa kabisa wa mafuta duniani na hifadhi ya madini katika ardhi za Waislamu, wengi wa Ummah wa Waislamu wanateseka katika umasikini mkubwa, wakiwa na pato la chini ya dolari 1.9 za kimarekani kwa siku ili kukidhi mahitaji yao msingi.



