Jibu la Swali Uzingatiaji Hadith kama Dalili katika Hukmu za Shari’ah
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Uzingatiaji Hadith kama dalili katika Hukmu za Shari’ah
Dalili kwa ‘Aqidah lazima uwe ya kukatikiwa na yenye usahihi usio na shaka. Ndio maana riwaya ya mtu mmoja mmoja (khabar al-ahad) haifai kuwa dalili kwa ‘Aqidah hata kama ni Hadith Sahih katika maana na upokezi wake. Ama hukmu ya Shari’ah, dalili yake inaweza kuwa isiyo ya kukatikiwa (thanni).