Ijumaa, 08 Jumada al-thani 1447 | 2025/11/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi “Ramadhan ni mwezi wa Jihad na Ufunguzi, basi Songeni, Enyi Majeshi ya Waislamu, kwa ajili ya Kuinusuru Gaza”

Hizb ut-Tahrir / Wilayah ya Tunisia iliandaa matembezi yenye kichwa “Ramadhan ni mwezi wa Jihad na Ufunguzi, basi Songeni, Enyi Majeshi ya Waislamu, kwa ajili ya Kuinusuru Gaza” baada ya swala ya Ijumaa kutoka Msikiti wa Al-Fatah katika mji mkuu hadi barabara ya Al-Thawra ambayo ni matembezi ya 23 mfululizo

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali Kubwa “Ramadhan ni Wakati wa Kuungana kwa Ajili ya Gaza!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ambayo yamekuwa yakiendelea kwa muda wa miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa Waislamu zaidi ya 110,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir/ Wilayah ya Uturuki iliandaa amali kubwa ya halaiki kote Uturuki.

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake ya Ramadhan “Ramadhan ni Mwezi wa Ushindi”

Karibu Ramadhan, mwezi wa ushindi, mwezi wa bishara njema, mwezi wa kujadidishwa imani na kutakasa nyoyo, mwezi wa utiifu na kushindana katika mambo mema. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliyetufikisha Ramadhan, mwezi huu mtukufu ambao tunahisi ndani yake maana ya rehema na umoja baina ya Waislamu. Karibu, Ramadhan.

Soma zaidi...

Serikali Mpya ya Pakistan Itaisagasaga Pakistan kwa Baraka za Marekani na Vibaraka wake katika Uongozi wa Kijeshi wa Pakistan

Mnamo tarehe 4 Machi 2024, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema, “Pakistan ya kidemokrasia ni muhimu kwa maslahi katika ya Marekani na Pakistan, na ushirikiano wetu na Waziri Mkuu mpya Shehbaz Sharif na serikali yake utaendelea kuzingatia kuendeleza maslahi haya ya pamoja.” Kwa hivyo, Marekani inasalia katika udhibiti kamili wa Pakistan kupitia vibaraka wake katika uongozi wa kijeshi.

Soma zaidi...

Njaa ya Kulazimishwa ya Mamia ya Maelfu ya Waislamu huko Rafah, Gaza, ni Kwa sababu ya Utepetevu wa Maafisa wa Kijeshi na Askari, Wanaosubiri Amri Ambazo Kamwe Hazitatoka

Enyi Maafisa na Askari wa Jeshi la Pakistan! Kumekuwa na vilio vya kutosha vya kuomba kutoka Gaza hadi kwenu! Kumekuwa na vilio vya kutosha kwa wale ambao wana masikio yanayosikia na nyoyo zinayohisi. Katika miezi hii mirefu, yenye uchungu na isiyotulia, tumesikia visingizio vyenu vyote vya kutokuchukua hatua. Hakuna udhuru wenu hata mmoja unaokubalika, kwa mujibu wa Mwenyezi Mungu (swt) na Mtume wake (saw).

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon: Kongamano “Khilafah ndio Mkombozi wa Nchi na Mtetezi wa Waja”

Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 100 M (103 H) ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu (Khilafah) na chini ya giza la uvamizi na mauaji ya halaiki yanayoendelea dhidi ya watu wetu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina), Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon ilifanya kongamano lenye kichwa: “Khilafah ndio Mkombozi wa Nchi na Mtetezi wa Waja”

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu