Hizb ut Tahrir / Uingereza: Kongamano “Jibuni Wito: Ikomboeni Palestina!”
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir nchini Uingereza iliandaa kongamano kubwa kwa kichwa:
“Jibuni Wito: Ikomboeni Palestina!”
Hizb ut Tahrir nchini Uingereza iliandaa kongamano kubwa kwa kichwa:
“Jibuni Wito: Ikomboeni Palestina!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa makongamano makubwa ya halaiki katika miji na maeneo Hamsini chini ya kichwa:
“Ujasiri wa Upinzani dhidi ya Ukaliwaji Kimabavu!”
Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu ya (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi ambalo liliendelea na mashambulizi yake dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji na upigaji mabomu wa kuendelea wa Ukanda wa Gaza kwa miaka 17
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: “Huu ndio Wakati wa Kuondoka Madhalimu na Kutawalishwa Wacha Mungu basi Toeni Nusra kwa Dini”
Huku umbile halifu la Mayahudi (Wazayuni) likiendelea na ulipuaji mabomu wa kinyama na kikatili wa Gaza, wanawake na watoto ndio wanaohimili uzito wa mauaji haya ya halaiki ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu elfu 72 hadi kufikia sasa
Kalima iliyotolewa na Mhandisi Salah Eddine, Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwenye kongamano "Jibuni Wito: Ikomboeni Palestina!" lililofanywa nchini Uingereza mnamo 24/12/2023 M.
Twamuomba Mwenyezi Mungu amfinike kwa Rehema zake na amjaalie Firdaus ya juu kabisa Peponi.
Maandamano “Idlib Inapigwa Mabomu na Gaza Inaangamizwa, Lini Majeshi Yatatangaza Jihad?”
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, iliandaa "Matembezi ya Ukombozi" kwa kichwa“Enyi Majeshi ya Waislamu: Qur'an Yenu Inakuamuruni Mutaharaki ili Kuinusuru Gaza.”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki, iliandaa matembezi makubwa ya halaiki na amali pana katika eneo la Al-Tatih jijini Istanbul yenye kichwa:
“Sauti Moja na Moyo Mmoja kwa ajili ya Gaza!”