Jarida la Al-Waie: Vichwa Vikuu vya Habari vya Toleo 426/427/428
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kwa mwaliko wa Hizb ut Tahrir/Indonesia Waislamu walishiriki katika miji mingi kote Indonesia kama vile; Jakarta, Surabaya, Medan, Bandung, Kendari, Makassar, na mengineo wakiwa katika amali za kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa mwaka huu wa 1443 H kwa jina (Kukaribisha Ramadhan 1443 H).
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 54 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Katika muendelezo wa amali za umma zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Sudan, ili kuuamsha Umma wa Kiislamu na kuimarisha azma yake ya kusimamisha Dola ya Khilafah Rashida ya pili,
Warithi wa Kitabu Wao ndio Watakaosimamisha Khilafah!] Kwa Fadhila za Sheikh Said Al-Karami (Abu Abdul Rahman
Mauaji kwa Mauaji, na leo mauaji ya kutisha huko Maarat al-Nasan.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaendesha kampeni ya mitandao ya kijamii katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Kalima ya Dkt. Nazreen Nawaz
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Kamati maalumu za kutafuta mwandamo wa mwezi zilizoundwa na Hizb ut Tahrir Malaysia ziliutafuta mwezi mwandamo wa Ramadhan uliobarikiwa wa mwaka huu 1443 H - 2022 M katika zaidi ya maeneo kumi tofauti kote nchini Malaysia.