Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Indonesia: Kongamano la Kimataifa la Mawakili Waislamu


Kwa kuzingatia masaibu wanayopitia Waislamu katika biladi tofauti tofauti ya ukandamizaji, umasikini, mauaji, kuhama makaazi, mauaji ya halaiki, na uchafuzi wa heshima kwa Rohingya, Uyghur, Kashmir na India, na hali duni ya maisha ya mamilioni ya wakimbizi katika kambi na kunyimwa kwao wengi mahitaji ya kimsingi nchini Syria, Yemen na Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kwengineko katika upande mmoja, na upande mwengine kumtia hatiani kila anayefuata mafundisho ya Uislamu kwa ujumla na kupambana na wanawake wa Kiislamu wanaovaa hijab, na kumtia hatiani kila anaye taka nidhamu ya utawala ya Kiislamu inayowakilishwa ndani ya Dola ya Khilafah Rashida kama gaidi, kutokana na matatizo haya yote na mengineyo, Hizb ut Tahrir / Indonesia inaandaa kongamano la kiulimwengu kwa anwani:

Kongamano la Kimataifa la Mawakili Waislamu (IMLC)

Hii ni kwa ajili ya kupata masuluhisho ya kisheria na ya kikanuni na kuyawasilisha kwa ajili ya kuendelea kutafuta ulinzi wa kikanuni kwa Waislamu wanaoteswa hadi yatakapopatikana.

Watahadhiri ndani yake kikundi cha wanasheria, mawakili, wanathaqafa, wasomi na waandishi wa habari kutoka Indonesia, kama ambavyo watashiriki kutoka nje ndugu waheshimiwa kutoka Australia, Malaysia, Yemen, Uholanzi, Uingereza na Amerika.

Basi kuweni pamoja nasi...

Jumapili, 26 Safar 1443 H sawia na 03 Oktoba 2021 M

- Maalumati Jumla Kuhusu Kongamano Hili -

Siku na Tarehe: Jumapili 03 Oktoba 2021 M

Wakati: Saa Tisa Unusu Asubuhi kwa Saa za Madina Al-Minawwara

Ili Kufuatilia Ufafanuzi: Bonyeza Hapa

Ili Kupakua Faili ya Matangazo (PDF) kwa Kiingereza Bonyeza Hapa


- Video Kamili ya Amali za Kongamano -

- Ili Kutazama Matangazo ya Moja kwa Moja ya Kongamano Hili -

- Video za Kongamano -

- Kadhia ya Palestina baina ya Masuluhisho ya Kipuuzi na Masuluhisho ya Kimungu -

Kalima ya Ustadh Muhammad Abu Hisham kutoka Uholanzi

Katika Kongamano la Kimataifa la Mawakili Waislamu Nchini Indonesia

- Waislamu wa Uyghur baina ya Mwelekeo wa Kanuni ya Kimataifa na Suluhisho Lake -  

Kalima ya Ustadh Abdul Hakim Othman Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir nchini Malaysia

Katika Kongamano la Kimataifa la Mawakili Waislamu Nchini Indonesia

- Uhalifu wa Kimataifa nchini Afghanistan: Sababu Zake na Suluhisho Lake! -

Kalima ya Ustadh Rian Wiramihardja kutoka Australia

Katika Kongamano la Kimataifa la Mawakili Waislamu Nchini Indonesia

- Urongo wa Fahamu za Utaifa na Ulinzi wa Kikanuni kwa Waislamu nchini Yemen na Njia ya Suluhisho -

Kalima ya Mhandisi Ramzi Nasser kutoka Wilayah ya Yemen

Katika Kongamano la Kimataifa la Mawakili Waislamu Nchini Indonesia

- Mauwaji ya Halaiki ya Rohingya na Janga la Utaifa -

Kalima ya Dkt. Abdul Rafee kutoka Amerika

Katika Kongamano la Kimataifa la Mawakili Waislamu Nchini Indonesia

- Masaibu ya Watu wa Syria na Kufeli kwa Kanuni ya Kimataifa -

Kalima ya Ustadh Wakeel Abu Dawoud kutoka Uingereza

Katika Kongamano la Kimataifa la Mawakili Waislamu Nchini Indonesia

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Tovuti Maalum ya Kongamano la Kiulimwengu la Mawakili Waislamu

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu