Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Kitengo cha Wanawake cha Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:
Shambulizi kwa Hijab Barani Ulaya!

Mnamo tarehe 25 Agosti 2022, Tume iliyoteuliwa na serikali ya Denmark ilipendekeza kupigwa marufuku kwa wasichana wanaovaa Hijab katika shule za msingi nchini humo. Marufuku hiyo ingetumika katika shule huru za msingi za kibinafsi na za umma. Kama tunavyojua, kumekuwa na marufuku ya hijab katika shule na taasisi zingine za elimu katika nchi zingine za Ulaya. Mjadala huu utavinjari siasa zilizo nyuma ya shambulizi kwa hijabu barani Ulaya na kushughulikia jinsi Waislamu wanapaswa kujibu shambulizi hili.

Jumapili, 15 Safar-ul Khair 1444 H - 11 Septemba 2022 M

 

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu