Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

  Hizb ut Tahrir Australia

Mhadhara: Ni nini Maana ya Kuwa Muislamu!?

Muislamu kamili sio yule ambaye anatekeleza kikamilifu suala moja la dini na kuyaacha masuala mengine, bali ni yule ambaye anakamilisha majukumu yake kwa wengine kama vile: wazazi, rafiki, watoto, majirani, mwajiri, jamii na Ummah wao!

Ni vipi tutastahiki kuwa Waislamu kamili katika muktadha wa leo na ni changamoto zipi zinazo tukabili?

Jiunge nasi tutakapokuwa tuna chambua mada hii.

Inayo jumuisha kalima mbili:

Kalima ya kwanza: Muislamu halisi tunaye stahiki kuwa

Kalima ya Pili: Changamoto katika kutimiza shauku hii, changamoto za ndani na za nje pia.

Tafadhali zuru ukurasa wa hafla hii kwa maelezo zaidi juu ya mhadhara huu, tazama chini.

https://www.facebook.com/events

Jumapili HII, 9 Septemba saa 6:30 PM hadi 8:30 PM | Ni nini maana ya kuwa Muislamu? | Ukumbi wa KCA | 925-941 Barabara ya Canterbury Lakemba NSW 2195 Australia

UKURASA WA HAFLA:

https://www.facebook.com/events

Pia tafadhali pitia maalumati yatakayo pelekea usambazaji wa hafla hii katik ukurasa wa HTA FB, kupitia kuya-like na kuyasambaza katika profile zenu na mitandao yenu

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 26 Juni 2020 19:59

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu