Jumatano, 11 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/13
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilaya Bangladesh: Kongamano la Kiuchumi la Mtandaoni:

Ruwaza ya Kiuchumi ya Khilafah ya Kiislamu

 Tarehe: 05 Julai, 2019 Saa za Bangladesh: 03:30 alasiri (GMT 09:30 asubuhi)

Hotuba ya kwanza itafichua sera haribifu za Utawala wa Hasina nchini Bangladesh. Nukta muhimu zitakazogusiwa katika mada ni:

Sera ya Shaikh Hasina – Miradi mikubwa kwa lengo ya ufisadi mkubwa badala ya kujenga miundomsingi inayo hitajika zaidi.

Taifa hilo limelemewa na mzigo wa mikopo ya ndani na nje wakati pote la wanasiasa na washirika wa kirasilimali wanapora mabenki na kuficha pesa ng'ambo.

Ushuru dhalimu wa mapato na VAT, ongezeko la bei ya umeme na gesi, kupanda kwa bei za bidhaa muhimu kusiko dhibitiwa …

Kumakinisha utawala wa mabepari Amerika-Uingereza-India juu ya viwanda na biashara za nchi hii, rasilimali za kiasili na za kistratejia.

Hotuba ya pili itadokezea Ruwaza ya Kiuchumi ya Dola ya Khilafah, na kugusia baadhi ya sera msingi na amali ya Dola ya Khilafah:

Kudhamini haki msingi za kila mwanachi, bila ya kujali rangi, dini na jinsia.

Kuondolewa nidhamu ya ushuru dhalimu wa mapato na VAT

Kung'oa udhibiti wa rasilimali za nchi kwa kampuni za ndani na nje, na matumizi sahihi ya rasilimali kwa maslahi ya watu na ujenzi wa miundo mbinu msingi.

Kujenga viwanda vikubwa vya silaha na kuzalisha fursa nyingi za ajira.

Kuunganisha Ummah wa Kiislamu na kutumia utajiri wake kuweza kuwa nchi inayo ongoza katika nguvu za kiuchumi duniani.

Hotuba ya kuhitimisha itaelezea mpango imara wa kisiasa wa kuing'oa serikali iliyopo sasa na kusimamisha Khilafah Rashida.

 Ijumaa, 02 Dhul Qa'adah 1440 H   -  05 Julai, 2019 M

- Mtiririko wa Moja kwa Moja wa Kongamano la mtandaoni –

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 16 Aprili 2020 09:19

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu