Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Denmark: Maandamano Mbele ya Ubalozi wa Misri ya Kuunusuru Msikiti wa Al-Aqsa Uliobarikiwa!

Chini ya mazingira ya kambi kwenye Ardhi iliyobarikiwa (Palestina) kutokana na mashambulizi endelevu ya umbile la Kiyahudi dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuzingirwa kwake na makombora ambayo yamekuwa yakiendelea kwa miaka 15 kwenye Ukanda wa Gaza, Hizb ut- Tahrir / Denmark iliandaa maandamano mbele ya ubalozi wa Misri jijini Copenhagen kwa anwani:  

"Palestina Inakulinganieni Kuikomboa!"

Idadi nzuri ya Umati wa jamii ya Waislamu ulikusanyika kuunga mkono maandamano hayo, ambapo kalima zilitolewa ndani yake kwa lugha Kideni, Kiarabu na Kiingereza ambazo zilifichua ubaraka wa tawala zilizopo katika nchi za Waislamu na ushirika wao na makafiri wakoloni dhidi ya Ummah na kuwataka majeshi ya Ummah wa Kiislamu kuhamasika na kuchangamka kuzipindua tawala hizi za usaliti na kisha kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kikamilifu kuanzia mtoni kwake hadi baharini kwake, na kuiregeshea hali yake ya kawaida kama sehemu muhimu ya Ardhi ya Uislamu

Jumapili, 04 Shawwal 1442 H sawia na 16 Mei 2021 M

- Video Kamili ya Amali ya Maandamano -

- Wako Wapi Maanwari wa Leo?! –

[Dondoo za Amali ya Kisimamo]

- Kalima ya Kwanza kwa Lugha ya Kiarabu -

[Tawala Zilizopo katika Ardhi za Waislamu Zashirikiana na Makafiri Wakoloni na Ndio Kiini cha Balaa Zote]

Iliyotolewa na Ustadh Mundhir Abdulla

- Kalima ya Pili kwa Lugha ya Kiingereza -

[Hakuna Wokovu kwa Ummah Isipokuwa kwa Ukombozi kutokana na Mipaka na Bendera Ambazo Zimewagawanya Kwazo Makafiri Wakoloni]

Iliyotolewa na Ustadha Iman Awadh

- Kalima ya Tatu kwa Lugha ya Kideni -

[Waislamu Wanawataka Watu Wenye Nguvu Kuchangamka kwa Ajili ya Ukombozi wa Ardhi Iliyobarikiwa - Palestina]

Iliyotolewa na Ustadh Ilyas Al-Murabit

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Denmark:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir Denmark

Ukurasa Rasmi wa Facebook wa Hizb ut Tahrir Denmark

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatatu, 31 Mei 2021 12:51

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu