Jumatatu, 21 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/23
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilaya Lebanon:
Mkutano wa Kupinga “Hapana kwa Kurudi kwa Vita vya Wenyewe kwa Wenyewe”

وَلَوْ اتَّبَعَ الْحَقُّ أَهْوَاءَهُمْ لَفَسَدَتْ السَّمَاوَاتُ وَالأَرْضُ وَمَنْ فِيهِنَّ بَلْ أَتَيْنَاهُمْ بِذِكْرِهِمْ فَهُمْ عَنْ ذِكْرِهِمْ مُعْرِضُونَ

Na lau kuwa Haki ingeli fuata matamanio yao, basi zingeli haribika mbingu na ardhi na waliomo ndani. Bali tumewaletea ukumbusho wao, nao wanajitenga mbali na ukumbusho wao. [Al-Mu’minun 23: 71]

Katika sura ya ghasia (fitna) iliyo chochewa na watawala wa Lebanon walio na lugha vitendo vya ubaguzi wa rangi dhidi ya Waislamu nchini Lebanon kwa jumla na hususan kwa watu wetu wa Syria wasio na makao…

Hizb ut Tahrir Wilaya Lebanon inakualika kushiriki katika maandamano yaliyo andaliwa chini ya mwito “Hapana kwa Kurudi Vita vya Wenyewe kwa Wenyewe!” mbele ya Msikiti Sadeeq mbele ya Sarai Tripoli baada ya swala za Ijumaa siku mnamo 28/6/2019, ili kutangaza msimamo unaomridhisha Mwenyezi Mungu (swt) na Mtume Wake, rehema na amani ziwe juu yake na familia yake… kama njia ya kuamrisha mema na kukataza maovu, na kupinga dhulma na unyanyasaji…

Ijumaa, 25 Shawwal 1440 H - 28 Juni 2019 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumatano, 27 Mei 2020 13:57

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu