Jumanne, 21 Rajab 1446 | 2025/01/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni,

“Mpango wa Trump dhidi ya Msikiti Al-Aqsa!”

Ikiwa ni sehemu ya kampeni yake kuhusiana na Mpango wa Trump dhidi ya Msikiti Al-Aqsa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imesambaza toleo kutoka Hizb ut Tahrir kwa kichwa “Enyi Waislamu! Bali Enyi Majeshi ya Waislamu! Hakika Sisi Tunataka Mtunusuru. Hakika Adui Wenu Trump Amedhihirisha Meno Yake, Basi Panga Zenu Zivunje Meno yake. Pia imetoa picha nane kutokana na toleo hilo katika mitandao ya kijamii ili kusisitiza ujumbe wake mzito.

Ewe Mwenyezi Mungu (swt), tujaalie Ngao yetu, Khilafah Rashidah kupitia njia ya Utume… Amiin.

Ijumaa, 13 Jumada al Akhar 1441 H - 07 Februari 2020 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 20 Juni 2020 07:57

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu