Jumanne, 21 Rajab 1446 | 2025/01/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan: Kongamano la Khilafah 1441 H – 2020 M

Wanachama wa Hizb ut Tahrir na wakaazi wa Jiji la Al-Abyad pamoja na viungani mwake walihudhuria Kongamano la Khilafah ambalo lilifanyika siku ya Jumamosi, 5 Rajab 1441 H, sawia na 29/2/2020M katika Uwanja wa Uhuru Jijini Al-Abyad. Kongamano lilikuwa na kichwa “Kisha itakuwepo Khilafah kwa Njia ya Utume.”

Kabla ya kuanza kwa kongamano; Wanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ndani ya Al-Abyad walifanya majadiliano ya wazi na watu kuhusu hali mbaya nchini Sudan.

Mada mbalimbali ziliwasilishwa mojawapo ikiwa ni kwa namna gani Khilafah ndiyo suluhisho pekee katika kuwaokoa watu kutoka katika ukandamizaji, umasikini, na makucha ya  Kimagharibi.

Kulikuwepo na idadi kubwa ya wanasiasa, wanachuoni na waheshimiwa wengine walikuwepo katika kongamano.

Ujumbe wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 16 Mei 2020 07:02

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu