- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir Ulaya: Ubelgiji
Ujumbe kwenda kwa Ubalozi wa Pakistan Kuunga Mkono Kina dada Waliotekwa Nyara
Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Ubelgiji ulikwenda katika Ubalozi wa serikali ya Pakistan uliopo jijini Brussel na kumkabidhi katibu wa pili taarifa mbili kwa vyombo vya habari zilizo tolewa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Wilayah ya Pakistan kuhusu kutekwa nyara kwa dada Romana na dada Dkt. Roshan. Ujumbe huo ulielezea kutoridhishwa kwake na vitendo vilivyo fanywa na serikali ya Pakistan dhidi ya waliotekwa nyara na kutaka waachiliwe huru mara moja.
Alhamisi, 12 Dhul Hijjah 1439 H - Agosti 23, 2018 M
#WaachehuruDadaZetu #MuacheHuruDadaRoman #MuacheHuruDrRoshan
#WaacheHuruRomanaNaRoshan
Kwa maelezo ya Kampeni hii ya AFISI KUU YA HABARI Bonyeza Hapa
https://www.hizbuttahrir.today/sw/index.php/dawah/ubelgiji/762.html#sigProId5d3d91c44a