Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Uingereza: Ujumbe kwa Balozi Kuyataka Majeshi Yende Kuikomboa Palestina!

Kwa kuzingatia hali ya wasiwasi katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) ya mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na umbile la Kiyahudi kwenye Msikiti wa Al-Aqsa uliobarikiwa na kuzingirwa kwake na bomu kwa miaka 15 katika Ukanda wa Gaza, Hizb ut-Tahrir / Uingereza ilituma wakati wa juma lililopita ujumbe mbalimbali kwa balozi za tawala zilizopo katika nchi za Kiislamu, kama vile ubalozi wa serikali ya Jordan, ubalozi wa serikali ya Pakistan na ubalozi wa serikali ya Uturuki, na kuzitaka, kupitia barua rasmi iliyosainiwa kwa jina la Hizb ut-Tahrir / Uingereza, kuhamasisha majeshi kwenda kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuvunja uhusiano wote uliopo na umbile la Kiyahudi linayoikalia, na kukataa sheria za kimataifa na maazimio ya Umoja wa Mataifa ambayo hayakutolewa isipokuwa tu kwa ajili ya kuimarisha kubakia kwa umbile la Kiyahudi.

Jumamosi, 17 Shawwal 1442 H sawia na 29 Mei 2021 M

Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uingereza:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir Uingereza

Ukurasa Rasmi wa Facebook wa Hizb ut Tahrir Uingereza

Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Hizb ut Tahrir Uingereza

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir Uingereza

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu