Usawa wa Kijinsia Unapelekea katika Maangamivu ya Jinsia
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kichwa cha habari katika Gazeti la ‘The Mirror’ mnamo tarehe 11 Juni: “Shule YAPIGA MARUFUKU wanafunzi wote kutovaa sketi chini sheria kali mpya ya ‘kutoegemea jinsia yoyote’” yaonyesha mwelekeo ambao ghiliba ya kijinsia ya Kimagharibi inachukua.